Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwanamziki Colonel Mustapha Atoboa Siri Adai Amelala na Huddah Mara 50 "Ni Mtamu Amepelekwa Unyagoni"

Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Colonel Mustafa amedai kuwa amesha fanya mapenzi na Huddah Monroe zaidi ya mara 50 kwa penzi lililodumu kwa muda wa wiki mbili pekee.

Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television Ijumaa hii, Colonel alizungumzia uhusiano wake na Huddah Monroe.

Nilikuwa na mahusiano na Huddah, tuli sex hata mara 50. Huddah she’s fine kitandani, Nafikiri amepelekwa unyagoni kidogo” Alisema Mustafa.

Hata hivyo, mrembo Huddah aliwai kukanusha kutoka kimapenzi na Colonel huku akidai msanii huyo alikuwa anatafuta kiki kupitia jina lake.

Katika hatua nyingine Mustafa alisema anamkubali Diamond , AY, pamoja na Navy Kenzo na anawish siku moja angefanya kolabo na mmoja kati ya hao.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

2 Comments

  1. kamsahau na shoga yake hudaa. nae kasamfanya mara 50.

    ReplyDelete
  2. This guy is stupid anaona hana kiki kwani kulala na huda au mwajuma kunahusiana nini na music?

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)