Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ommy Dimpoz Amuonyesha Mpenzi wake Hadharani na Kumchana Nay wa Mitego Baada ya Nay Kumuhusisha na Ushoga Kwenye Nyimbo yake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Barua kutoka kwa @ommydimpoz kwenda kwa Nay wa mitego baada ya Nay wa Mitego kumuhusisha na Ushoga katika nyimbo yake mpya...

"Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako  inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani  vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza  Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba  Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema" Ommy Dimpoz

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

12 Comments

 1. Hahhahahahha uwiiiii ommy jamni umeua si kwa maneno hayo hahahhaha yani umemalizaa...umempa mineno ya shombo hatwariiiiiiiiiii.....

  ReplyDelete
 2. Wote walewale hakuna mwenye unafuu kwani simba na fisi wote wanyamapori

  ReplyDelete
 3. achene upuuzi mademu cyo ishu tafuteni pesa!

  ReplyDelete
 4. kwenda nje we ndo umeona umemaliza pumbaavuuuuu kwelikweli. Hata uende nje mara 100 ujaze pasport 40 bado utarudi bongo tu na fimbo ya mbali siku zote haiui nyoka.....nani kaenda nje zaidi ya jk? mbona yuko bongo msoga katulia zake tu.Mziki unaburudisha,unahamasisha,unaelimisha,unahudhunisha na unakosoa pia. Huo wimbo haujamlenga mtu specific jina lako limetumika kama mfano tu lkn kwenye maisha wapo watu wa hivyo hata kama ww hauko hvyo. Sio kuanza ligi na kuweka bifu za kisolo hiyo ndo kazi ya muziki ukiweza toa wimbo na ww muweke kama mfano uone kama atakumind.....

  ReplyDelete
 5. Kuweka picha ya mwanamke haimaanishi chochote!..Sir Elton John alikuwa na mke, George Michael alikuwa na girlfriend, Ricky Martin alikuwa na girlfriend, hata mdau Kadinda anadai ana mtoto!!... Haya, movie mpya imeanza.

  ReplyDelete
 6. Picha yenyewe kn takutengeneza tuu nchumba wenyewe kalipwa Na kiss hayo mambo ya kutengeneza tumechoka km kalio la bi Zari la kununua mt Congo chezea bongo wewe

  ReplyDelete
 7. hahahaaaaaaaaaaaaaa. unanidai Anony 12.22 PM.

  ReplyDelete
 8. Amemkuna huyo jamaa anayofanana tu na mimi nina wasiawsi mmmmh hila siukumu. Demu siyo wake hahahahahaha!

  ReplyDelete
 9. Sasa dimpoz unawakandia mademu wa nema alafu unasema mmoja wao umewapitia.

  ReplyDelete
 10. Bro ungekaa kmy tu kuliko kujibu ujinga

  ReplyDelete
 11. Ama kwel pcha ya editng hio hakna ukwel wala nn

  ReplyDelete
 12. kiki za mipasho hiyo #uck

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)