Shilole 'Ukinitaka Mimi Bila Milioni 20 Hunipati'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Amepanda dau? Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa bila mtu kuwa na kiasi cha Sh. Milioni 20 mkononi, hawezi kucheza filamu yake kwa kuwa kwa sasa anaona kama ni kumpotezea muda.

Akipiga na Ijumaa Wikienda, Shilole au Shishi Baby alifunguka kuwa soko la filamu Bongo, linashuka na pia wasanii wanatumia muda mwingi lakini wanapata malipo kidogo tofauti na nguvu pamoja na muda waliotumia.

“Kama mtu akinitaka kwa sasa ili nicheze filamu yake awe na milioni 20 ndiyo nifanye maana ni kitu ambacho kinachukua muda sana halafu malipo yake ni kidogo,” alisema Shilole.

Chanzo:GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unakunya keki au unagawa tako?na mario nuh alikuwa anakupa ngapi?

    ReplyDelete
  2. Hakuna anaekutaka hata kwa shilingi kumi kicheche

    ReplyDelete
  3. Umemzidi lulu kwa m 5 hamna lolote unapenda kutoka magezetini au kwa huyo mini

    ReplyDelete
  4. Hata yule mumeo wa igunga kashtuka. Na ndio mmezaa. Milioni ishiriniii.mfyuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad