Ivan Aijibu Vekesheni ya Diamond na Zari Ulaya kwa Kuipeleka Familia yake Ibiza, Hispania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Inaitwa clash of the titans na siri ya mchezo hapa ni fedha ndiyo inayoongea na sio maneno matupu! Diamond na Zari wapo Ulaya kwenye vekesheni inayoendana na ziara ya From Tandale to The World, na sasa ex wa Zari, Ivan ameamua kujibu mapigo kwa kuipeleka familia yake (watoto aliozaa na Zari), kula bata Ibiza.


Yeye anasema, “Flying out to Ibiza just to get some pizza …..#holidayGoals #squadGoals.”

Seems like competition kati ya Ivan na Zarimond haiwezi kuisha leo wala kesho.

Kwa taarifa yako tu ni kwamba Ibiza ni kisiwa kilichopo kwenye bahari ya Mediterranean, kilomita 150 kutoka pwani ya mji wa Valencia, mashariki mwa Hispania.

Ibiza ni kisiwa cha maraha kinachofahamika kwa maisha ya usiku na muziki wa house.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. achene ujinga udaku, mtu anaenda starehe na watoto wake nyie mnafikiri anamlipizia mtu Fulani, ujinga huo!

    ReplyDelete
  2. watoto wanaonekana kabisa hawana raha na wanammiss mama yao a lot!!! angalia macho yao wanatia huruma eveo their father is so so!! broken marriage ni mbaya sana kwa familia asee.

    ReplyDelete
  3. Wambie hapo juu. Kwenda voccasion kwa nchi za wenzetu ni kawaida sana tena na watoto wao. Ila kwa wa bongo ni big deal. Inakuwa issu. Ushamba tu unawasumbua. Mijitu imezoea kihonga michepuko yao na kushinda kwenye mabaaa kutwa. Wenyewe wanadhani ndio deal

    ReplyDelete
    Replies
    1. wee umesema ushamba tu unawasumbua wabongo. wenzao hivi vitu ni vya kawaida.

      Delete
  4. Ila jamaa anajitaidi sana kuwa weka watoto kwenye kipindi hiki kigumu coz mama kama kawa tenga flani. Ila ili swala nitakuja mkucost mama yao baadae

    ReplyDelete
  5. WABONGO ACHENI UNAFIKI UWEZI KUMLINGANISHA IVAN NA DIAMOND. DAI WA JUZI JUZI IVAN WA SIKU NYINGI SANA NA TAJIRI KULIKO DIAMOND UTAWAFANANISHAJE??? ACHENI HIZO

    ReplyDelete

Top Post Ad