Ticker

6/recent/ticker-posts

Je Diamond Platnumz Alikutana na Huddah Monroe Alivyokuwa Las Vegas Hivi Karibuni? Picha Yazua Utata

Nchini Kenya limeibuka swali la je Diamond Platnumz alikutana na Huddah Monroe alivyokuwa Las Vegas hivi karibuni?

Swali hili limeibuka baada ya picha inayoonyesha gari aliyopanga Diamond likiwa kwenye picha aliyopiga Huddah Monroe ambaye alikuwa Sin City kwenye tamasha kubwa huko Las Vegas Hotel & Casino.

Diamond Platnumz na Huddah Monroe walipoz kwenye gari moja ambayo imeonekana kuwa na Rim zilizofanana.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

5 Comments

 1. Kwani kuna tatizo wakikutana?
  Udakuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

  ReplyDelete
 2. Udaku ugombanishi . Com

  ReplyDelete
 3. mnafikiri kila cku atamsubiri bibi?

  ReplyDelete
 4. Hahahaaa hureee shughuli nzitooo,maana ushoga wa zari na huddah umeisha tangu mwaka jana ikidaiwa huddah amtaka diamond sasa kulikoniii????kazi kweli kweliii yetu machooo!!!!chezea mtoto wa kigoma weweee....

  ReplyDelete
 5. domo alikosea tu kwenye kampeni za uchaguzi kwa kusema mgombea ni mgonjwa, ila mambo mengine yuko makini na papara.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)