Nikiwa na Msichana Namkinai, Hivi Nina Pepo au ni Tamaa tu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori za Usiku:
Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa.

Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano kwa zaidi ya miezi sita
nikilala na mwanamke mara mbili au tatu hata kama angekuwa mzuri vipi namkinai na nitamfanya visa mpaka aniache natafuta mwingine nae hivyohivyo
kuna mmoja aliniweza akanikaba mpaka kivuli huyu nilikaa nae muda kidogo lakini miezi sita haikuchukua.

Wakati mwingine nikishawakinai nafuta nambazao utakuta ananipigia nikiuuuliza wewe nani anakasirika wakati angejua nimeshawafanyia wenzake kama ishirini sasa hilo ni pepo au ni kujiendekeza wengine wamediriki kutishia kujiua baada ya kuwa nao kwa muda mfupi wakitarajia ndoa lakini wakaambulia visa na kuachwa....

Wenye uzoefu nishaurini sipendi ila najikuta tuu....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upumbavu wako tu huna lolote siku ukishajua unataka nn hakuna atakae kutaka soo polee

    ReplyDelete
  2. UNAENDEKEZA NGONO NA UTAKUFA MJINGA WEWE

    ReplyDelete

Top Post Ad