VIDEO: Nyumba ya Milioni 700 Wanayojenga Navy Kenzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Biashara ya muziki imekuwa na faida kubwa  ukilinganisha na miaka ya nyuma, nimeipata good news ya wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo (Aika & Nahreel) kuhusiana na kuanza ujenzi wa nyumba yao yenye thamani  ya milioni 700, Ayo TV iliwapata Navy Kenzo kuzungumzia nyumba hiyo, pamoja na sehemu ya video ya ujenzi ulipofikia.

“Mwaka huu ni mwaka ambao umekuwa wa mafanikio na tumefanya vitu vingi pamoja na tour na tumepata dili nyingi ambazo zimetuingizia pesa, ndio tulikuwa na mipango ya kujenga nyumba toka zamani na imefikia wakati tumeanza kujenga, hii ni nyumba ambayo tumebuni mimi na Aika na itagharimu milioni 700 hadi kuisha”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyumba million700 hv kwann usitafute basi eneo zuri lililopimwa na halmashauri ya mipango miji nunua eneo hata kama million30 anza ujenzi..sasa hapo kieneo hicho hakuna mipango ya makazi yani nyumba zimejengwa sio kimpangilio jamnn hii ndo tofauti ya mastaa wetu na
    wa nje una pesa...n yu want gud life make sure yu gat that gud lyf thro yo money..yani ishi kistaa tofaut na ss tusio mastaa yani mm mtu wa kawaida
    i thnk i ve gud a good house kuliko ya staa yoyote tz...maana namm ni muumini wa nyumba nzuri na maisha mazuri..my house z huge big and alot of space inside na mazagazaga yote ya anasa..sijui gym sijui ofisi kuna yard yan xpensive stuff kunazia taa za ndan mpka za fence that wat we call million miasaba inafanya kazi na eneo liwe zuri..hawa wasanii wanahitaji wawe na washauri utshangaa ikishaisha ndo unajiuliza hii ndo million700...kama mshindi wa BBA alivyonunua nyumba ya million300 while angejenga nyumba ya million200 including na eneo zuri na chench angebaki nayo na bado anagekuwa na nyumba kubwa nzuri mpyaa...jumba million300 afu used mpka ulikarabati ni million100..yanii akili nyingine jamn

    ReplyDelete
    Replies
    1. Well what u said is true but why are u include u a self by describing u a house?😮

      Delete

Top Post Ad