Kupatwa Kwa Mrembo Huddah: Azama Kimapenzi Kwa Mchagga!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei kwa Mkaka huyo Handsome
Tazama Picha ya mwanaume huyo hapa:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si alikuwa na boyfriend huyu mpaka akahaidi siku moja atamuanika, leo hii kazama kwa mchagga, huyu kweli sina lakusema

    ReplyDelete

Top Post Ad