Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Hivi Ndiyo Wasemevyo Wakenya Wakimtetea Mtu wao Huddah Monroe na kuwaponda Wabongo ambae huwa kazi yao Kuponda tu wakimtaja na Wema Sepetu kuwa Wabongo Wamegive Up Kwake:
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA
Yaani wakenya mmenipa raha kweli leo, watanzania wapo tayari kuacha kumsifia wema wakamsifia bibi Kizee Zari, huyo malaya akae zake kimya huko south africa alee watoto alizani kuzaa haraka ndo kupata child support. Pole malaya wa kiganda utabaki kuzalishwa mwanamke usiyejua kufunga miguu.
ReplyDeletehahaaaa saizi yake le kibibs. alizoea kumtusi Wema akafikiri hata kwa Hudaa ataweza.
ReplyDeleteit true she is bibi kizee too old to have Naseeb nikama mtoto wake hivo sielewi nani aliemngangania mwezake ww zari bora urudiani na baba watt wako kuwa na akili wewe ni mtu mwenye umri mkubwa mbn waganda wamejaa tuache watanzania alone
ReplyDeleteJamani tujiulize kwanini Zari tokea aachane na Ivan biashara zote zimefungwa, kwasababu provider wa money he gave up and he let her go!sijawahi kuona mwanamke mjinga kama zari!Ivan anakula bata la hatari bibi Kizee anatafuta young boys spams all over africa.
ReplyDeletemsimpangie maisha yake . mwacheni si maisha yake nyie kinawawasha nini kama sio umbea tu. yenu yanawashinda mtayaweza ya Zari? mfyuuuuu
DeleteUdaku unauza unaijua biashara bhana tizama watu wanavyotokwa na povu ukichomekea tu habari kisa zari watu hawajui ni za kweli au uongo basi nikuropoka mbele kwa mbele utafikiri wao hawana maisha yaani utafikiri waswafi kuliko manabii
ReplyDeletenimewapenda hawa wakenya... sisi watanzania kurudishana nyuma kila siku na kushushana kwa umbea na udaku.... true a Kenyan will always support a Kenyan no matter what??? Tanzanians wake up............you abandoned Wema Sepetu and called her al names in this world... see how educated people treat one of their own...
ReplyDelete