Wakenya Wasimama Kidete Kumtetea Huddah Baada ya Kuingia Kwenye Bifu na Zari, Wema Sepetu Atajwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakenya wamekuja juu baada ya Dongo la Zari Kumpata Huddah Kuwa ni Nyaku Nyaku, Inasemekana Diamond yupo nchini Kenya ambapo ameenda kupiga Show Mombasa, sasa wadaku wa Kenya wanasema hiyo ndio sababu Zari Huko alipo hapakaliki kwani anahisi Mrembo Huddah atachukua nafasi hiyo Kumnyakuwa Diamond.....

Hivi Ndiyo Wasemevyo Wakenya Wakimtetea Mtu wao Huddah Monroe na kuwaponda Wabongo ambae huwa kazi yao Kuponda tu wakimtaja na Wema Sepetu kuwa Wabongo Wamegive Up Kwake:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani wakenya mmenipa raha kweli leo, watanzania wapo tayari kuacha kumsifia wema wakamsifia bibi Kizee Zari, huyo malaya akae zake kimya huko south africa alee watoto alizani kuzaa haraka ndo kupata child support. Pole malaya wa kiganda utabaki kuzalishwa mwanamke usiyejua kufunga miguu.

    ReplyDelete
  2. hahaaaa saizi yake le kibibs. alizoea kumtusi Wema akafikiri hata kwa Hudaa ataweza.

    ReplyDelete
  3. it true she is bibi kizee too old to have Naseeb nikama mtoto wake hivo sielewi nani aliemngangania mwezake ww zari bora urudiani na baba watt wako kuwa na akili wewe ni mtu mwenye umri mkubwa mbn waganda wamejaa tuache watanzania alone

    ReplyDelete
  4. Jamani tujiulize kwanini Zari tokea aachane na Ivan biashara zote zimefungwa, kwasababu provider wa money he gave up and he let her go!sijawahi kuona mwanamke mjinga kama zari!Ivan anakula bata la hatari bibi Kizee anatafuta young boys spams all over africa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. msimpangie maisha yake . mwacheni si maisha yake nyie kinawawasha nini kama sio umbea tu. yenu yanawashinda mtayaweza ya Zari? mfyuuuuu

      Delete
  5. Udaku unauza unaijua biashara bhana tizama watu wanavyotokwa na povu ukichomekea tu habari kisa zari watu hawajui ni za kweli au uongo basi nikuropoka mbele kwa mbele utafikiri wao hawana maisha yaani utafikiri waswafi kuliko manabii

    ReplyDelete
  6. nimewapenda hawa wakenya... sisi watanzania kurudishana nyuma kila siku na kushushana kwa umbea na udaku.... true a Kenyan will always support a Kenyan no matter what??? Tanzanians wake up............you abandoned Wema Sepetu and called her al names in this world... see how educated people treat one of their own...

    ReplyDelete

Top Post Ad