Zari Hassan na Huddah Katika Bifu la Kumgombania Diamond Baada ya Zari Kutupa Jiwe Gizani Kwa Manyaku Nyaku

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPABaada ya Zari Hassan kupost Kwenye Page yake ujumbe tata ambao unawagusa wanawake wanao nyakua nyakua waume za watu kwa siri siri , Ujumbe huo inaonekana umewagusu baadhi ya wadada wa mjini na kuhisi moja kwa moja kuwa wanasemwa wao...Mmoja wapo aliyepatwa na dogo la zari ni Mrembo Huddah Monroe Kutoka Kenya Ambae ameamua kujibu kwa Kuandika haya hapa Chini:

Huddahthebosschick
Kuna mtu anatafuta Kiki Kwa Nguvu na Kwangu hapati ngo' huna jipya😂' ...... I'm busy Building my HUDDAH BUSINESS EMPIRE ... I don't fight with people the age of my mom on social media . I'm better than that and I don't want to end up a broke cougar dating young boys for money and fame! Stop letting your mid-life crisis out in the public, unajiaibisha. .... Act your AGE grandma! #MistressOfAllTrades
 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. mpe vipande vyake bibi Leba. anafikiri kila mtu wa kumtusi. kaingia mlango wa kiume.

  ReplyDelete
 2. Mamae kampa kampa tena....zari anajisikia mnooo...old broke couger...

  ReplyDelete
  Replies
  1. mho i would love to be broke if that is how to be broke living like her.......thetehetetehetetehetetehe

   Delete

Top Post Ad

Below Post Ad