Ticker

6/recent/ticker-posts

DIAMOND Kumdondosha Hasimu wa Zari Kwenye Wasafi Beach Party

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara kwenye muziki asiyeogopa ‘kutake risk’ kwaajili ya kukamilisha azma yake, hata kama uamuzi atakaouchukua unaweza ukaleta mzozo ndani ya familia yake.

Katika kunogesha tamasha lake kubwa la Wasafi Beach Party, hitmaker huyo anamdondosha hasimu mkubwa wa mchumba wake Zari, Huddah Monroe. Kama umesahau, Huddah aliwahi kuingia kwenye bifu kali na Zari baada ya kudai kuwa amewahi kutembea na Diamond na kwamba staa huyo ni ‘mali ya umma.’

Diamond ameweka picha ya mrembo huyo kwenye Instagram akiwa ameipa kamera mgongo na kuwataka mashabiki wake kubashiri ni nani.


Katika kuthibitisha kuwa anakuja, mrembo huyo alipost video Instagram akiiimba wimbo maarufu wa Darassa, Muziki na kuandika: Coming HOME soon…
Niliota naolewa TZEEE,Single men mkuje kwa wingi tukamilishe ndotoπŸ˜‰
Na blah blah blahhh Sitaki kusikia….😜 Kamwili kangu kanatosha kujigamba..πŸ˜‚ #mistressofalltrades.”

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments