Ticker

6/recent/ticker-posts

ZARI Afunguka :Hakuna Kitu Ninachokipenda Katika Maisha yangu Kama Kuzaa....

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Wakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo na kukimbilia wanaume wenye pesa hali ni tofauti kwa mwanamama zari hassan (the boss lady ) ambaye amekiri wazi kuwa kitu anachopenda zaidi katika maisha yake ni kuzaa.

Zari ambaye ni mpenzi wa mwanamziki nyota Africa diamond platnumz amesema hayo ikiwa ni siku chache tangu apate mtoto wa kiume aliyezaa na diamond ambaye watu walimbeza kuwa anazaa bila mpangilio eti kiza tu alibeba ujauzito kabla ya mtoto wao wa kwanza tiffah hajatimiza mwaka mmoja.

Licha ya zari kuwa na watoto watano kwa sasa ameweka wazi kuwa kwa sasa yeye na diamond wana mpango wa kuzaa mtoto mwingine wa tatu na baada ya hapo hatozaa tena na badala yake watajikita zaidi katika kuwalea watoto wao.

Post a Comment

14 Comments

 1. ZAAA MAMA MUNGU MWENYEWE AMESEMA ZAENI MKAIJAZE DUNIA!!!BRAVO ZARI!!!

  ReplyDelete
 2. hee hee mhh hapo umenena kuzaa ama kuzini maskini vitoto vinasikitisha hebu dada rudi kwa mola wako ogopa mungu wewe ni wa dini gani? dunia ni mapito wacha kujidanganya moto wa jahanam unakungojea hebu kaulize kwa mashehe yote haya ninayo yafanya hukum yake nini mbele ya Mwenyezi Mungu? sasa ukipata jibu sidhani kama hata hayo mawigi utayavaa

  ReplyDelete
 3. azae tuu. ila ajue kuna irin nae anamimba. na bi sandra alishaenda kwa Aunt yake kigamboni kujitambulisha kuwa mimba ni ya Dai.

  ReplyDelete
 4. bi masumbuko hamzalii Domo peke yake. yupo na mwingine ana tumbo kubwa anajifungua muda si mrefu. labda anajua ila hana pa kwenda na nyumba ya watoto wake.

  ReplyDelete
 5. Lol bi sandra kiboko! huku kaenda kigamboni kujitambulisha kama mwanae kampa mimba klyn na kusema Zari hatoolewa kamwe. na huku kaja kujifanya anamuudumia kizee mwenzie. kweli huu mchezo hautaji hasira.

  ReplyDelete
 6. Big Up- ZARINA...MUCH MORE LOVE BABY...

  ReplyDelete
 7. Ndio vitega uchumi vyako ulali njaa zaa tuu

  ReplyDelete
 8. mtoa habari kachemsha tena eti wakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo, mbona inajulikana kuwa na Zari ni mtumizi mzuri sana wa mkorogo au wewe ni kipofu uoni?

  ReplyDelete
 9. Zaeri ni Mganda mjanja alijua Diomond antafuta watoto na alihaidi kuwa mwanamke atakaye mzalia atamjengea mjengo wa nguvu naye kujua hana hata kiota kahamua kumzalia ili apate sehemu ya kujistiri. Siku D akiishiwa anawahi sehemu nyingine yenye pesa.

  ReplyDelete
 10. Mtumizi mkubwa wa Kula midonge ya wiupe n.a. plastic sugary kunyanyua uso pia ana feki tupu hadi Lenzi kwenye macho

  ReplyDelete
 11. Unataka kufa tu wewe!! hata ufanyeje huwezi kumfunga kamba Dai asitoke nje na wala hutakuwa umri sawa na yeye!!! utafia leba bure kwa kutaka kumdhibiti Dai kwa kumwambia kama watoto nimekuzalia unaangaika nini tena!!! Kumbuka Dai must ran to young girls who are aged as him... Hiloooooo poyoyo

  ReplyDelete
 12. ndiyo maana yule msichana Irene haonekani siku hizi anajificha kumbe ni mja mzito kumbe Diamond kampa ujauzito lakini Zari hana wasiwasi wowote hata kama Diamond akizaa na mtu mwingine lakini bado Zari ana watoto wawili na Diamond itabidi Diamond ampe hela za malezi na hata kama Diamond akimuacha Zari pia itabidi Diamond ampe Zari hela za malezi ya watoto kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 18 na ndiyo Zari alichokuwa anataka kama kwa yule bwana Wake wa zamani

  ReplyDelete
 13. mhuuuuuuuuuuuuuu mhuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 14. zaa mpaka wafike 11 iwe diamond Fc

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)