Ticker

6/recent/ticker-posts

ZARI Athibitisha Yeye na Mama Mkwe Wake Bado Zinaiva

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Kuliwahi kuwepo uvumi kuwa Zari na mama yake Diamond Platnumz hawaelewani.

Tetesi hizo zilikuwa kubwa zaidi hivi karibuni baada ya Bi. Sandra kumchunia Zari kumpongeza kwenye siku yake ya kuzaliwa lakini akamtumia salamu ex wa mwanae, Wema Sepetu.

Lakini tangu Diamond na mama yake waende Pretoria, Afrika Kusini kwaajili ya kumwangalia Zari aliyejifungua Jumanne hii mtoto wa kiume, mambo yameonekana kuwa shwari.

Kwanza Diamond aliweka picha kwenye Instagram akiwa na wanawake hao wawili muhimu maisha mwake na mama yake kuirepost. Kwenye picha hiyo Diamond aliandika:
 Earlier today with my Favorite ladies, the ladies behind my success….. @kendrah_michael 💞 @zarithebosslady.”

Jumatano hii Zari ameweka picha na hiyo juu na kuandika: Snacking with mama in law @kendrah_michael what a laid back & chilled day.”

Ni furaha na amani tu kwenye familia ya Chibu kwa sasa.

Post a Comment

8 Comments

 1. Zari umependeza sana. Hongereni sana

  ReplyDelete
 2. PANAPOFUKA MOSHI KUNA MOTO

  ReplyDelete
 3. Tumechoka na hayo maupuuzi yao. Kwani kuiva kwao ama kutoiva kwao sisi inatuhusu nini. Acheni maisha ya maigizo nendeni mkafanye kazi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. NDIO LIFE YAO IKO HIVYO PENDA USIPENDE!!!

   Delete
  2. Usilolijua litakusumbua,acha chuki.Sema umechoka,sio tumechoka.Na hayo maisha ya maigizo ndio kazi yao na ndio yanayowapa ugali.Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu

   Delete
 4. Hivi nani anamchaguliaga nguo huyo bi Sandra? Yuko kamaa mpiga ramli. Kavaa vitukoo. Zari hapendi watu wachaf chaf. Si ajabu kaja na uchawi wake kutoka kigoma na shinyanga alikoenda siku zile. Ashindwe na alegeee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hmmmm. Inaelekea wewe kama umelewa au mke mtalajiwa haumpendi mama mkwe wako

   Delete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)