7/17/2020

WENGI Hawayajui Haya Kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)..!!!


1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta!

2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon "F*ck you!" alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea

3.kinywaji alichokipenda zaid tupac kilikuwa Fanta orange. Alishawahi kuwafukuza badhi ya wafuasi wake nyumbani kwake kwa sababu eti walikuwa wanammalizia soda zake!

4.Akiwa mtoto mdogo akimkosea mama yake, alikuwa akipewa gazeti la new york times alisome mbele ya mama yake!

5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa "west coast", cha kushangaza ni kwamba, tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!

6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!

7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!

8.Aliandika wimbo wa dear mama akiwa jela. mama yake alishawahi kufungwa jela pia!

9.Kwenye wimbo wake wa "me and my girlfriend" anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana

10.Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwani mama yake alifungwa akiwa na ujauzito wa tupac. Alifungwa kwa tuhuma za ulipuaji wa mabomu na makosa kadhaa ya jinai!
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger