Marafiki wa Zari na WCB Wadaiwa Kumkacha Zari Msibani.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Pamoja bado yupo kwenye majonzi ila Team Wema bado wanaendelea kurusha vibomu kwa Zari, Huyu hapa chini anawashutuma marafiki wa Zari Kumkacha rafiki yao kipindi hichi kigumu kwake:

From @wemakingdaily - Hakuna hata rafiki either from SouthAfrica Or Tanzania😞Hata rafiki yake VeraSidika yuko jirani hapo kenya kashindwa kuja😠 Kwenye 40 ya Nillan watu kibao walifika kumsupport ila leo yuko peke yake,Madam Rita ndo kabisaa anaomboleza msiba insta halafu hata mtu mmoja kutoka WCB hata wa kuwakilisha hakuna😢😢 Diamond mwenyewe katudanganya atakuja kwenye kuaga kumbe hola mpaka maiti inaelekea kuzikwa😭😭 Hata hao wanaojiita TeamZari kutukana watu na kuchamba watu wameshindwa kujichangisha kwenda kumuunga mkono Star wao😭😭😭@zarithebosslady atakuwa amejifunza kitu hapa! aache kunyali wenzie
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad