Nioanavyo... Kifo cha Ivan Semwanga Kimetokana na Zari..Ushahidi Huu Hapa..!!!


Nasema haya kutokana na sababu nitakazo zihainisha hapa chini ila ukweli kifo cha Ivan Semwanga chanzo chake nimapenzi sababu kuu ni Zari!

Ukiangalia tangu waachane na Zari Ivan hakuikubali ile hali na alijitahidi kumbembeleza Zari ila Zari hakutaka!

Na Ivan alitegemea Zari angerudi waendelee na maisha! ila baada ya kuzaa na Diamond Ivan alizidi kuishiwa tumaini la kuwa na Zari kwani alimpenda mno!!

Katika hizi picha alikuwa akituma ujumbe kwa Zari! Rudi mama kama pesa ipo huku!pia ukumbuke Diamond alipost kuwa amenunua Hammer kesho naye aaapost ana Hammer3 hii yote nikuwa alimpenda sana Zari!

Pia katika kuachana Ivan hakuwahi kupost picha yoyote akiwa na mwanamke! aliamini hakuna mwanamke wakumchallenge Zari hivyo hakuona sababu yakujidhalilisha kwani alijua Zari ni mzuri sana, hivyo hakaona ajipe muda!na alitamani arudi ila maamuzi haya, hayakuwa upande wake!! kwani Zari alishamchoka!. Hivyo umauti huo umetokana na msongo mkubwa wa mawazo!. Nina hakika Mungu akimfungulia Zari kutafakari juu ya kifo cha Ivan atatambua yeye ndiye aliyesababisha!

Mara nyingi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu hutokea tunachokana na kutamani yavunjike hata kama tunawatoto!kutokana na maudhi madogo madogo!ila ujidanganya nakusema bora tuachane ila wakiondoka! baada ya wiki utamani kuwarudisha ila mara nyingi uogopa watu watanionaje!!mbaya wakienda ambapo hatuwezi kuwaona tena kama kufariki basi hapo ndipo huwa tunapatwa msongo wa mawazo!! na hasa kama wametuachia watoto!. 

Taadhari ikikutokea usijixhanganye katika pombe tumia muda kukaa na familia na kuwa busy na watoto baada ya muda tafuta mwenza japo atakuwa halingani na yule na nivigumu kumpata kama yule!na mhalalishe mbele ya familia yako ili upate muda wakukaa naye ndani kuliko kutumia muda mkiwa hotelini!maana ukirudi kitandani kwako hali itaanza upya!

Hivyo nirudi katika mada kifo cha Ivan Semwanga kimesababishwa na msongo wa mawazo ya mapenzi juu ya Zari.

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. ndugu zangu msihukumu kwani hamjui wawili hao ni yapi walipitia mpaka kuwa vile walivyo. kazi ya mola haina makosa mwacheni dada wa watu jamani..muogopeni mungu..nashangaa watu wanavofatilia mambo ya wenzao fanyeni yenu muacheni dada wa watu inatosha...au mpaka na yeye afe kwa maneno yenu watoto wake mtawalea nyie?

  ReplyDelete
 2. Utajiri ni sumu ktk maisha ya mapenzi. Si kazi Zari alichoka kuwa na mume tajiri na mambo yanayohusiana nayo. Si busara kulaumu mtu kwa kifo kama hiki. His life style might have been the cause. RIP Ivan. Zari pole sana na Mungu akupe faraja ktk hili na akusimamie na jukumu la kulea watoto.

  ReplyDelete
 3. Mbongo bwana mpe picha stori atatunga yeye ivi zari asingekuwa na daimond baada ya kuachana angeishi na maisha yake je bado ungeandika izi kamba zako kwaninu usiamini kazi yake mola haina makosa ? tutungieni basi na stori za mv bukoba lucky visent mv spice maana inaelekea nyie wataalam wa vifo

  ReplyDelete
 4. SIRI YA MTUNGU AIJUAYE KATA. ACHENI KUMSHAMBULIA ZARI. SIONI KOSA LAKE NA SI KWELI KAMA KASABABISHA KIFO CHA IVAN. MUOGOPE MUNGU WAKO WEWE ULIYESEMA MANENO HAYO. JIANGALIE WEWE UNA USAFI KIASI GANI? USIHUKUMU USIJE HUKUMIWA. ZARI POLE SANA!! YANA MWISHO HAYA. JIPE MOYO....!!!!

  ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad