Ticker

6/recent/ticker-posts

Huddah Monroe "Nachukia Sana Tendo la Ngono..Najuta Kujiingiza Huko"

Kila mtu ana mabaya na mazuri yake katika maisha. Mrembo Huddah Monroe ambaye anafahamka sana kwenye mitandao ya kijamii ameonyesha kujutia kuingia katika mahusiano.

Licha ya kuwa na mvuto hasa kwa wanaume, mrembo huyo ameonyesha kuchukia maisha yake ya kimahusiano na anatamani bora asingejiingiza katika tendo la ngono na mtu yeyote kwa sababu wakiachana na mtu huyo huwa anajutia kuingia naye kwenye mahusiano.

Huddah amepost kupitia Snap Chat yake ambayo inaelezea kuwa anajutia kitendo hicho na tena anakereka hasa anapoachana na mtu huo na  baadae  mtu huyo ambaye anamuoana mbaya kwa wakati huo anakuwa akimfua warudiane.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments