12 Aug 2017

Breaking News: Wambura Arudi Tena TFF....Ashinda Nafasi ya Makamu wa rais wa TFF, Aapishwa Tayari

Waswahili wanasema, “zege halilali” na ndiyo mambo yalivyokuwa Dodoma maana Michael Wambura ameshinda nafasi ya makamu rais wa TFF na baada ya hapo, tayari ameapishwa rasmi.

Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Total Pageviews


Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger