Harmonize Amkingia Kifua ZARI HASSAN Swala la Kujirusha Baada ya Msiba wa Mama yake.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya watu kuhoji vipi Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady anajiachia ile mbaya akila bata wakati ni siku kadhaa tu zimepita tangu afiwe na Mama yake mzazi, Harmonize ameamua kumteta Zari.

Harmonize ambaye naye walikuwepo katika bata hilo Mombasa nchini Kenya, amesema mtu akipata matatizo halafu akapelekwa sehemu nzuri kwa ajili ya kufurahi ni kitu cha kumshukuru Mwenyenzi Mungu.

“Kwa sababu haikuwa rahisi, unajua kufiwa na mazazi sio kitu kidogo. Tumefika (Mombasa) tumemkuta yupo fresh, yaani kasharidhika na matokeo kwa sababu anajua hakuna binadamu atakuja kuishi milele,” ameiambia XXL ya Clouds Fm na kuongeza.

“Kwanza ukiona mtu anazungumza hiyo ujue haijui dini, kwa sababu dini imeandika kila mtu atakufa, kifo ni kitu cha lazima, ukiwa unaijua dini huwezi kuhofia suala la kifo. Mtu kafariki ni lazima uumie ila ni lazima maisha mengine yaendelee kwa sababu hata ukae ndani miaka sita hawezi kurudi,” amesema Harmonize.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. Laanatul llah mwingine huyo. anaogopa kufukuzwa tena na boss uchwara.

  ReplyDelete
 2. walamba Matako ya bi kizee kumbe wako wengi? nilifiki ni lile jinga Le kunukazz mwenye umbo kubwa akili sifuri.

  ReplyDelete
 3. wabongo bwana

  ReplyDelete
 4. WIVU TU UNAWASUMBUA WABONGO.

  ReplyDelete
 5. Wivu wa nn. wa kuonesha uchi usokuwa na thamani au sura na edit nyingii.

  ReplyDelete
 6. wewe unaoujua uislamu hayo munayo ya fanya je yako kwenye usilamu. cos musilamu hairuhusiwi zina na kuzaa bila ndoa.hebu kuweni kiakili munaona sifa munayo yafanya hakuna mwenye wivu wala choyo lakini kwa kweli haependezi kabisa kwanza huyo zarina haonibhaya hata kwa watt wake kufanya ufuska mwanae mkubwa wa sikama huyu daimond tu isitoshe mama yako mzazi kafarikia haijafika hata wiki 2 inshallah iike mwezi huwezi kufanya alioa ya Fanya zari hata kidogo imani hakuna kwaihivo huyu diamond aombe umri mrefu kilichowakuta pemba na unguja kipo tuko na macho eeeeh ila hapana sio mwanamke kabisa

  ReplyDelete
 7. wewe unaoujua uislamu hayo munayo ya fanya je yako kwenye usilamu. cos musilamu hairuhusiwi zina na kuzaa bila ndoa.hebu kuweni kiakili munaona sifa munayo yafanya hakuna mwenye wivu wala choyo lakini kwa kweli haependezi kabisa kwanza huyo zarina haonibhaya hata kwa watt wake kufanya ufuska mwanae mkubwa wa sikama huyu daimond tu isitoshe mama yako mzazi kafarikia haijafika hata wiki 2 inshallah iike mwezi huwezi kufanya alioa ya Fanya zari hata kidogo imani hakuna kwaihivo huyu diamond aombe umri mrefu kilichowakuta pemba na unguja kipo tuko na macho eeeeh ila hapana sio mwanamke kabisa

  ReplyDelete
 8. kwa kweli maneno yako kuntu hawezekani hana sababu hata mmoja eti amekwenda kujiliwaza wee uchungu wa kugiwa na mama hapana bwana alafu bira mukafunge ndoa sio kuzaa na kuzurura kama hayawani

  ReplyDelete

Top Post Ad