Uko Instagram page moja ya kishilawadu imajaribu kumuhusisha mtoto tiffah na kichanga cha hamisa mobetto basi zari ikamfika hapa, basi povuuuu ziiiito limemtoka ni shida.
Zari usinune, Naseeb a.k.a Diamond bado hajaoa, anayo nafasi ya kufunga ndoa na mwanamke yoyote yule hata kama hajazaa nae,..........kama kuzaa hata panya anazaa

ReplyDelete