Gigy Money Adai Ngoma yake ‘Papa’ ni Kali Kuzidi Seduce Me

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Video Vixen na Msanii Muziki Bongo, Gigy Money amedai kuwa ngoma yake Papa ni nzuri kuzidi ngoma ya Alikiba Seduce Me.

Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio amesema ngoma yake kwa sasa ina miezi minne na bado inaendelea kufanya vizuri kitu ambacho anaamini ni kutokana ukali wake.

“Papa ni kali kuliko Seduce Me sema Alikiba ni msanii mkubwa na watu walimmiss sana, huwezi kusikiliza Seduce Me zaidi ya mara tano lakini Papa unaweza kusikiliza siku nzima” amesema Gigy Money.

Wimbo wa Gigy Money ‘Papa’ hadi sasa una views 381,008 katika mtandao wa YouTube wakati ule wa Alikiba ‘Seduce Me’ uliotoka August 25 una views milioni 6.3.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu kweli mwehu hivo kweli uko sawa na hasa unajiweka kwenye level za wasani kafe mbele huna lolote ukurutu

    ReplyDelete

Top Post Ad