Je, nia ya Kumpa Support Kiba ni Kumshusha Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hivi kuna uwezekano wanaompa support Ali Kiba wanataka kumshusha Diamond?, Kwenye hizi team nimeona sana team kiba wanafatilia sana habari na maisha ya Diamond, Kuna uwezekano mkubwa sana labda hawa baadhi ya team kiba walikuwa wanamkubali sana Diamond ila alivyoanza kupata mafanikio makubwa walichukia sana na hivyo wakaona watumie karata ya Ali Kiba ili wajaribu kumshusha Diamond,

JE KUNA UWEZEKANO WA KUWEPO HILI JAMBO
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. why watu wafatilie habari za daimond or why to support kiba kwa lengo la kumuangusha daimond ur wrong kila mtu ana sifa yake kiba will remain kiba na sifa zake as well as anybody wacha unafik think before u utter

    ReplyDelete

Top Post Ad