4 Oct 2017

Je Wajua Hemed PhD ndiye Msanii Mwenye Watoto Wengi Tanzania?

Akihojiwa katika kipindi cha E News cha EATV Msanii wa bongo movie na bongo fleva Hemed amesema anawatoto zaidi ya sita lakini amekuwa akimpost mmoja kwenye mitandao ya kijamii

VIDEO:Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD


Share:
Weka Maoni yako Hapa

2 comments:

  1. MWANAUME MASHINE!

    ReplyDelete
  2. Wanaume wote wakifungua Zipu zao kama mashine basi kila mwanamke mwenye umri wa kuzaa. Tutazaana kama mashine. Si mnawapa sifa. Sasa Tanzania tuko mil 52. Karubu tutawafikia Nigeria Mil 186 na tutakuwa namba moja Africa, Alafu makazi yenyewe tunangaika kutwa tunajenga kiholela mwisho wa siku tunabomolewa, watoto kwashakooo, utapia mlo, Shule haba mwisho wa siku vibaka kila kona, wezi ndio usiseme au usipime, hao majambazi ya kupola mabenk ndio laaaa losalaleee!!!! Tukijua kuzaana tuwekee na mazingira mazuri ya Taifa Pia,

    ReplyDelete

Total Pageviews


Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger