google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Hamisa Mobetto Anyakua Tuzo ya ‘People Choice Awards’. | UDAKU SPECIAL

Hamisa Mobetto Anyakua Tuzo ya ‘People Choice Awards’.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hamisa Mobetto Anyakua Tuzo ya ‘People Choice Awards’.
Mwanamitindo kutoka Tanzania,  Hamisa Mobetto amefanikiwa kunyakuwa tuzo ya Starqt Awards katika msimu wake wa nne kupitia kipengele  cha ‘People Choice Awards’.

Mrembo huyo aliyekuwa ana wakilisha Tanzania na Afrika Mashariki alikuwa akiwania vingengere viwili ambavyo ni ‘People Choice Awards’ na ‘Super Mum’ ila amefanikiwa kuibuka kidedea katika kipengele kimoja tu.

Starqt Awards ni tuzo zinazohusisha biashara, mitindo, burudani na vitu vingine. Na zoezi la ugawaji tuzo hizo lilifanyika Novemba 4 mwaka huu katika ukumbi wa Bedford View City Hall, mjini Johannesburg nchini South Afrika.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad