google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mama Kanumba Ahudhulia Uzinduzi wa Filamu ya Hamisa Mobetto | UDAKU SPECIAL

Mama Kanumba Ahudhulia Uzinduzi wa Filamu ya Hamisa Mobetto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Kanumba Ahudhulia Uzinduzi wa Filamu ya Hamisa Mobetto
MWANAMITINDO  Hamisa Mobeto, usiku wa kuamkia leo amezindua rasmi  Quality Centre jijini Dar muvi ambayo ameshiriki kwa kiasi kikubwa inayoitwa, Zero Player, ambayo ilishutiwa katika ukumbi wa Suncrest Cineplex.
Muvi hiyo ambayo imeshutiwa nchini, South Africa, na Mobeto ameigiza kama Mhusika mkuu huku akitumia jina la Jack, imeandaliwa na Allan Upamba, huku ikishirikisha wa sanii machachari kutoka Bongo, akiwemo Mobeto na Seth Bosco.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad