2/28/2018

TRCA Yafungia Nyimbo za Diamond, Nay wa Mitego, Roma, Young Dee na Wengine Kisaa Hichi Hapa

Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari huku ikisema hatua za kisheria kuchukuliwa kwa watakaokiuka.Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

1 comment:

  1. Kwa nini nyimbo 2 za Nick wa pili hazijafungiwa? Kaimba matusi hadharani na mafumbo....... Kwenu wasanii, kwani haiwezekani mkaimba nyimbo bila matusi?? Mbona Mrisho Mpotto anaeleweka vizuri...kama muziki umewashinda, tafuteni shughuli nyingine mfanye.......TUMEWACHOKA NA MITUSI YENU!

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger