Hii Hapa Kauli ya Kwanza ya Rick Ross Baada ya Kutoka Hospitali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rick Ross Atoa Kauli ya Kwanza Baada ya Kutolewa Hospitali

Big Boss wa Maybach Music Group, Rick Ross amevunja ukimya kwa kuamua kutoa kauli yake ya kwanza baada ya kutoka Hospitali.

Rick ambaye alikuwa amelazwa katika hospitali moja mjini Florida baada kupata tatizo la kushindwa kupumua na kupoteza fahamu kutokana na nimonia amerudi mtaani rasmi na kuamua kuwajuza mashabiki zake katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

“Ain’t nothing like home 🙏🏼. I love y’all – WLR,” ameandika Rick Ross. Huku akiwa ameweka picha ya mtu aliyevaa koti lililoandikwa “Black Bottle Boys” mgongoni mwake na kushika chupa ya mvinyo ya Luc Belaire.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad