Ninapokuwa Karibu na Wema Sepetu Basi Mafanikio Yanakuwa Mengi....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ninapokuwa karibu na @wemasepetu Basi mafanikio yanakuwa mengi.... Hivyo wanaoona Ukaribu huu ni Big Ishu wanafeli na Inakua Sio Poa kabisa. Mimi na Wema ni marafiki Tu na Hakuna Uhusiano wa Kimapenzi. .

@diamondplatnumz Afunguka hayo katika #ThePlaylist Ya Times FM
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe unamtumia mtoto wa watu ili uzidi kuandikwa kwenye magazeti

    ReplyDelete

Top Post Ad