5/21/2018

Kiki ya MC Pilipili na Mwijaku Kumbe ni Wimbo huu Mrisho Mpoto na Harmonize ‘Nimwage Radhi’

Ndani hizi wiki mbili zili-trend stori za Mwijaku na MC Pilipili wakirushiana maneno mitandaoni kuwa Mwijaku kaoa aliyekuwa mchumba wa MC Pilipili. True story ni kwamba ile ilikuwa ni video ya wimbo mpya wa Mrisho Mpoto aliomshirikisha Harmonize unaitwa ‘Nimwage Radhi’…

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger