Sheikh Kipozeo Atambulishwa Rasmi WCB

Sheikh maarufu hapa nchini Hilali Shaweji Makarani maarufu kama Sheikh Kipozeo hatimaye ametambulishwa rasmi Wasafi TV kuwa ndiye atakayeongozwa mafundisho yanayohusu mwezi huu mtukufu wa ramadhani .

Sheikh huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuwasilisha mada bila kuchosha watu wanaomsikilizaHABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Sheikh Kipozeo Atambulishwa Rasmi WCB Sheikh Kipozeo Atambulishwa Rasmi WCB Reviewed by Udaku Special on May 21, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.