google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wafanyabiashara Tanzanite Wafunguka hali ya Kibiashara Baada ya Ukuta Kujengwa | UDAKU SPECIAL

Wafanyabiashara Tanzanite Wafunguka hali ya Kibiashara Baada ya Ukuta Kujengwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana May 23, 2018 AyoTV na millardayo.com inakuletea stori kuhusu hali ya biashara ya madini baada ya serikali kujenga ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite uliopo wilayani Simanjiro mkoani Arusha ambapo wamesema umesababisha bei ya madini hayo kupanda kwa asilimia 30 tangu mwezi December mwaka jana.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanunuzi na Wauzaji wa Madini nchini (TAMIDA) amezungumza Bonyeza PLAY hapa chini kutazama na kumsikiliza

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad