RC Makonda Apata Mtoto wa Kiume "Mungu Wewe ni Waajabu Unatenda kwa Wakati"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amebahatika kupata mtoto wa kwanza na kupitia instagramu yake ameonyesha furaha yake aliyopewa na mungu kwa kupata mtoto wa kiume.

Kutokana na kusemwa sana kuwa hana uwezo wa kuzaa makonda kupitia posti yake ameonyesha kuwaumbua waliomuandama kwa muda mrefu.

Kupitia ukrasa wake wa istagram Rc Makonda Aliandika Hivi "Mungu wewe ni waajabu tena unatenda Kwa wakati wako. Asante Kwa ZAWADI YA MTOTO WA KIUME @ KEAGAN P MAKONDA

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad