Nyimbo Mpya ya Bill Nass Yafutwa You Tube " Roho za Namna hii Haziwezi Kukuza Tasnia"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


Nyimbo Mpya ya BBill Nass Yafutwa You Tube " Roho za Namna hii Haziwezi Kukuza Tasnia"
Baada ya Mkali wa Hip Hop Billnass kuachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Labda’ ambao ulikuwa unapatikana YouTube lakini kabla siku haijaisha wimbo huo umefutwa bila kujulikana nani kahusika na hilo kitu ambacho kimemfanya Billnass kulalamika.

Billnass ambaye ameamua kuandika kupitia ukurasa wake wa instagram kuhusu watu waliomfutia wimbo wake youtube kwa kusema yeye hafanyi muziki kwa mashindano bali anafanya kwa kujikwamua kwenye umaskini wake na kudai kuwa imemuumiza sana.

…>>>“Kitendo Cha Video Yangu Ku Hackiwa na Kufutwa Youtube kimeniumiza sana….Video Yangu hata haina umri wa masaa Mengi, Views wenyewe sio wa kiivyo ndo imeanza kuingia kwenye trending watu Wenye Roho Mbaya Wamefanya wanayoweza…Sijawahi Kufanya Mziki wa Mashindano.

“Mara zote Huwa na Support kazi za Wenzangu kwa Moyo Mmoja pia Huwa natoa Nyimbo kwa Muda Mrefu sana nikiwa naaamini Kila Mtu ananafasi Yake na Muda wake….Nafanya Mziki wangu kujikwamua na Umaskini wangu na kuiendeleza Karama aliyonipa Mwenyezi Mungu….

“Sio Kumkomoa Mwengine….Sidhani kama Roho za namna hii zinaweza kukuza Tasnia….imeniumiza sana na inatishia sana kama Mziki wetu umefikia huku 🙏” – Billnass

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad