Sitaki Ionekane Nikiwa na Zari au Hamissa ni Big Ishu Wote ni Washikaji Zangu- Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sitaki Ionekane Nikiwa na Zari au Hamissa Iwe Bigi Ishu Wote ni Washikaji Zangu na Napenda Wapendane- Diamond
Msanii wa bongo fleva DIAMOND PLATNUMZ ambaye kwa sasa yupo nchini marekani amewataka wazazi wenzake ambaye ni Hamissa Mobetto na Zari kuondo matabaka kati yao ili waweze kuwakuza vyema watoto wake na kuwafanya waishi kwa ushirikiano pale watakapokuwa.

"Nawapenda watoto wangu wote mama zao watabaki kuwa rafiki zangu na washkaji zangu sipendi nikionekane nikiwa na Hamissa au Zari iwe Big ishu sitaki iwe ivyo kwasababu wote ni wazazi wenzangu ninachokitaka kuona wazazi wenzangu kuacha tofauti na kushirikiana ili siku kukitokea kitu kama birthiday ya mtoto wangu basi watoto wote na familia zao wote wawepo napenda nione watoto wangu washirikiane kama ndugu bila matabaka" Diamond

"Nawashukuru wazazi wenzangu kwa malezi mazuri ya watoto wangu ila wanachotakiwa si kuwatengenezea upendo kwangu mimi ila na bibi yao na ndugu zao lakini hata miongoni mwao sababu maisha yenyewe mafupi" alisema Daimond

Daimond amesema kuwa anafanya kazi ili kuwaaandalia maisha mazuri ili mwisho wa siku wawe viongozi na wasimamizi wa vitu anavyovipambania leo wakiwa wanaungana kwa pamoja.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad