VIDEO: Mabadiliko Shule ya Jangwani Walimu kuhamishwa, mlinzi nae OUT kisa kuwarubuni wanafunzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya matokeo mabaya ya Kidato cha sita shule ya Wasichana Jangwani iliyopo jijini Dar es salaam, leo Julai 17 Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Seleman Jaffo ametembelea shule hiyo na kutoa maagizo ikiwemo walimu wote waliofundisha mda mrefu (wahanga) kuhamishwa huku mlinzi ambae alikuwa anawarubuni wanafunzi nae kutolewa mara moja.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad