AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Leo August 19, 2018 Rais John Joseph Magufuli amefiwa na dada yake, Monica Joseph Magufuli aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza. Bi. Monica amefariki leo asubuhi August 19 ikiwa ni siku moja tangu Rais Magufuli amtembelee katika chumba cha uangalizi maalum hospitalini hapo.
Hii ni kwa mujibu wa Mkurugezi wa kitengo cha Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Pole mheshimiwa rais kwa kupotelewa na dada yako. Mwenyezi Mungu akujalie faraja wewe na wafiwa wote
ReplyDelete