Jionee Haji Manara Alivyowakera Mashabiki wa Yanga Baada ya Simba Kuibuka Kidedea Hapo jana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanasema kwenye msafara wa Mamba pia Kenge hawakosekani na ndivyo ilivyokuqa jana wakati wa mchezo kati ya Simba na Mtibwa pale Ccm Kirumba.

Kikundi kikubwa cha mashabiki waliovalia jezi za njano na kijani walikuwepo kuizomea Simba katika fainali hiyo lakini baada ya filimbi ya mwisho Haji Manara aliamua kuwakera kwa kufurahia ushindi mbele yao.

Jionee hapa hali ilivyokuwa


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad