Kwisa wa Shilawadu Achumbia..Hakuamini Alivyokubaliwa na Huyu ndio Mchumba Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


From Kwisa
Siku ya Jumamosi ilikua ni siku kubwa Sana kwangu.. Nilifanya maamuzi makubwa Sana katika maisha maana nilijua itakua rahisi bt NO haikuwa Rahisi.. Nilienda mpaka kaburini kwa mama kwisa kuomba urahisi wa jambo hili na pia kuchukua baraka.. Nashukuru Mungu nilipo muomba MKE wangu matarajiwa Her hand in Marriage (Tuishi pamoja Milele) alinikubalia tena kwa furaha ya machozi juu (Hata mm nilikimbia chumbani kujifungia nilie kwanza, 😅😅 si unajua kidume kulia hadharani tena..) Asante Sana kwa kila rafiki, ndugu na jamaa mlioweza kufika... Nyinyi ni familia yangu.. Mlikua wengi sintoweza kutaja mmoja mmoja.. Ila asanteni sana sana... Happy Birthday @lauraally_ na Asante kwa kukubali kuishi milele na mm na watoto wetu.. Inshallah Jini mkata kamba yoyote asipite.. Damu itamwagika

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad