Rich Mavoko afunguka kwa Mara ya kwanza toka Atoke Basata


Rich Mavoko afunguka kwa Mara ya kwanza toka Atoke Basata

Rich Mavoko afunguka haya:

"Nimejifunza vingi ila la muhim  kabisa  nimeona Umuhim wa kukaa karibu na  walezi wetu mana changamoto ni nyingi na  kuna mengi ila yote mnaweza yajua kama tukiwa karibu nanyi leo mmenipa maana ya neno mama ni mama ata kama ni kilema, ata iweje nyinyi ndo walezi wasanaa Yetu Niseme Tu Asante #Basata"


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Rich Mavoko afunguka kwa Mara ya kwanza toka Atoke Basata Rich Mavoko afunguka kwa Mara ya kwanza toka Atoke Basata Reviewed by Udaku Special on August 10, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.