Bondia Anthony Joshua Noma..Amchakaza Vibaya Mtu na Kuivunja Rekodi yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimae pambano la Boxing kafi ya bondia muingereza Anthony Joshua dhidi ya Bondia wa kirusi Alexander Povektin limemalizika baada ya kusubiriwa kwa hamu kwa muda mrefu.

Anthony Joshua ambaye anarekodi ya kutopigwa amefanikiwa kuvunja rekodi ya bondia Povektin kwa kumpiga kwa Technical Knock Out round ya saba ya pambano hilo.



Kabla ya bondia Alexander Povektin kupoteza pambano leo dhidi ya Anthony Joshua kwa TKO, ndio linakuwa pambano lake la pili kupoteza katika mapambano 36 aliyocheza akishinda 34, KO 24 huku Joshua akiendelea na rekodi ya kutopigwa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad