BREAKING NEWS: Hans Pope wa Simba anatafutwa na TAKUKURU


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa {TAKUKURU} imemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope kujisalimisha katika ofisi zake au Kituo cha Polisi. 

Mbali na Hans Pope, TAKUKURU imemtaka pia Frankline Lauwo kujisalimisha, huku wote wakitakiwa kujibu tuhuma zinazowakabili juu ya mashtaka ya kutoa taarifa za uongo TRA. 

TAKUKURU imetangaza zawadi nono kwa Mwananchi yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa Watuhumiwa hao baada ya kutafutwa bila mafanikio.


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

BREAKING NEWS: Hans Pope wa Simba anatafutwa na TAKUKURU BREAKING NEWS: Hans Pope wa Simba anatafutwa na TAKUKURU Reviewed by Udaku Special on September 14, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.