google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Breaking: Soudy Brown wa Shilawadu na Maua Sama Wakamatwa na Polisi | UDAKU SPECIAL

Breaking: Soudy Brown wa Shilawadu na Maua Sama Wakamatwa na Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Breaking: Soudy Brown wa Shilawadu na Maua Sama Wakamatwa na Polisi
Mtangazaji wa Clouds Fm Soudy Brown wa Shilawadu pamoja na muimbaji wa muziki, Maua Sama wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la polisi Dar es salaam.

Wawili hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi Kinondoni lakini jioni hii tayari wameshahamishiwa Central Polisi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, kimedai wawili hao walishikwa siku ya jana baada ya kupost video mtandaoni inayowaonekana watu wakicheza wimbo ‘Iokote’ wa Maua Sama huku wakiwa wanakanyaga hela.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad