9/14/2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala Apata Ajari

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala Apata Ajari
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, Simon Berege na wenzake (idadi haijafahamika) wamepata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo eneo la Shelui mkoani Singida wakiwa njiani kutoka Dodoma kurejea Shinyanga.

Aidha, imeelezwa kuwa ajali hiyo imetokea wakati dereva akijaribu kukwepa mifugo iliyokuwa ikikatisha barabara.

Majeruhi wa ajli hiyo wamelazwa katika Hospitali ya Igunga mkani Tabora wakiendelea kupatiwa matibabu na sasa hali zao wanaendelea vizuri. Taarifa zaidi endelea kuwa nasi.


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger