AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nandy ameongea hayo leo katika kituo cha habari cha Clouds Fm kwenye kipindi cha Leo tena na kusema kuwa Bado miaka mitatu kuachana na muziki ” Mimi katika ndoto zangu ni kuwa mfanya biashara mkubwa sana na hata naanza kufanya muziki nilijiwekea malengo baada ya miaka mitano nitaacha muziki na niendeleze biashara zangu na hadi sasa nimeitumia miaka miwili tu 2016,na 2017 na mwaka 2020 ndio nitaacha muziki na sio kuwa nitakuwa sitoi ngoma hapana nitakuwa natoa ila kwa mwaka hata mara moja pia kuhusu show naweza kuwa nafanya kwa mwaka mara moja ili nipate muda wa kusimamia baishara zangu”
Nandy ni kati ya wanamuziki wa kike kutoka Tanzania wanao fanya vizuri kwa sasa akitambulishwa na ngoma yake ya Ninogeshe.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK