Nandy "Video ya Utupu Nikiwa na Nguo ya Ndani Kitandani ilinipa Tabu sana"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada NaNdy anasema kuwa moja ya vitu vilivyowahi kumnyima amani na kumtia aibu ni ile video yake iliyosambaa ikimuonyesha yeye na Billnass wakiwa faragha na kusambaa sana katika mitandao ya kijamii .

Nandy ambae alikuwa katika mahusiano na msanii mwenzake Billnass  waliingia matatani siku za nyuma baada ya video hiyo kusambaa katika mitandao ya kijaimii kipindi ambacho Nandy alishakaaa sana kuhusu ukaribu wao na hata kusema kuwa hawakuwa na mahusiano yoyote.

hata hivyo  baada ya kusambaa kwa video hiyo wawili ho walitakiwa kuomba msamaha mbele ya umma kwa kosa hilo huku wakionywa na BASATA.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad