Yanga Yaibuka na Ushindi Leo...Ngassa Atupia, Mashabiki Wamshangaa Golikipa wa Yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Yanga wameibuka na pointi 3 mbele ya Stand United kwenye uwanja wa taifa lakini ukiachana na ushindi huo, gumzo kubwa ni golikipa wa Yanga aliyeanza kwenye mchezo wa leo KLAUS NKINZI KINDOKI ambaye ameonekana kufungwa magoli mepesi.

Mchezaji Mkongwe Mrisho Ngassa Leo ametupia bao katika hayo mabao manne
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad