google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries ZasitishaHuduma ya Usafirishaji Kisa Hiki Hapa | UDAKU SPECIAL

Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries ZasitishaHuduma ya Usafirishaji Kisa Hiki Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

zam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries ZasitishaHuduma ya Usafirishaji Kisa Hiki Hapa
KAMPUNI ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, kupitia Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA),  imesitisha safari zake kati ya Dar es Salaam na Zanzibar kuanzisha leo Oktoba 23, 2018, kutokana na hali mbaya ya hewa baharini.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka Ya Udhibiti wa Hali ya Hewa (Zanzibar), safari hizo  zitarejeshwa na mamlaka husika na hali ya baharini itakapotulia.

Kwa wanaotaka maelezo zaidi wawasiliane na kampuni za Azam Marine na Kilimanjaro au wafike katika ofisi zao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad