Chuchu Hans atoa Ruhusu kwa wanaotaka kuzaa na Ray Kigosi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chuchu Hans atoa Ruhusu kwa wanaotaka kuzaa na Ray Kigosi
Mpenzi wa muigizaji Ray Kigosi, Chuchu Hans amefunguka na kusema mwanamke yeyote anayetaka kuzaa na mpenzi wake huyo ruksa tu.

Muigizaji huyo amesema kuwa hawezi kumzuia mwanaume na kama itatoke hivyo anaamini yatakuwa ni maamuzi ya Ray lakini haamini kama rahisa hivyo.

"Kama unahisi ni rahis sawa, kama wanata kuazaa na Ray na wanahisi ni rahisi sawa, ruksa, sijui yeye mwenyewe Ray hata nikisema nimzuie siwezi kumzuia mwanaume unajua, yeye mwenyewe ndio anatakiwa aangalie," amesema Chuchu Hans.

Ray Kigosi na Chuchu Hansa wamejaliwa kupata mtoto mmoja na kumpa jina la Jaden, mtoto huyo ni miongoni mwa watato wa watu maaarufu Bongo wanaofuatiliwa zaidi kwenye mitandao akiwa na followers zaidi laki 1.8 kwenye mtandao wa Instagram.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad