Hiki Ndicho Kilichomsibu Chirwa Hadi Kurudi Tena Bongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hiki Ndisho Kilichomsibu Chirwa Hadi Kurudi Tena Tanzania
Mshambuliaji Obrey Chirwa tayari yuko jijini Dar es Salaam na inaelezwa chanzo ni kutolipwa baadhi ya fedha zake za usajili na kucheleweshewa mshahara kwa takribani miezi mitatu akiwa na klabu ya Nogoom El Mostakbal nchini Misri.

Kutokana na hatua hiyo, Chirwa raia wa Zambia, ameamua kuvunja mkataba baada ya kukaa kwa miezi mitatu na kuona mambo yanazidi kuwa magumu.

Imeelezwa, klabu hiyo ya ogoom El Mostakbal ndiyo ilimfanya Chirwa kuondoka Yanga.


Pamoja na hivyo, tokea ametua ogoom El Mostakbal mambo yake hayakuwa mazuri hasa katika suala la malipo.


Kutokana na hali hiyo, Chirwa aliamua kurejea Tanzania kumtembelea Donald Ngoma, rafiki yake walioyecheza pamoja Azam FC.

Chirwa alikuwa mmoja wa wachezaji tegemeo wa Yanga kabla ya kuamua kuondoka kwenda Misri.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad